Msaada-dawa ya kuondoa mikosi mabalaa

Msaada-dawa ya kuondoa mikosi mabalaa

Beba bango tar 26/4.katisha pale ifm nenda mpaka barabara ya kivukoni kata kulia nyooka mpaka jengo la wizara ya mambo ya ndani pumzika hapo kidogo watakuja waganga wakupe dawa
 
Mikosi na bahati una create mwenyewe ndugu yangu. Haya mambo ukiyaweka kicwani mwako yanakuwa kweli.

Kwa msaada tafuta kitabu kilichoandikwa na Munga Tehenan (R.I.P) Kiitwacho namna ya kipata bahati, pesa na mafanikio. Utaana kila kitu humo.

Au tafuta kitabu kilichoandikwa na Bryan Adams kiitwacho How to succeed.
 
Sikia,unajua mda mwingine unaweza kuona una mkosi kwa kila unalofanya.hata mimi hunitokeaga kiasi kwamba najiona sina dhamani.ushauri wangu kwako muombe Mungu atakusaidia.usitafute dawa,dawa ni maombi.acha undezi
Bangi mbaya sana
 
Beba bango tar 26/4.katisha pale ifm nenda mpaka barabara ya kivukoni kata kulia nyooka mpaka jengo la wizara ya mambo ya ndani pumzika hapo kidogo watakuja waganga wakupe dawa
Niko Congo Brazzaville hayo maeneo uliyotaja hayapo huku
 
Mikosi na bahati una create mwenyewe ndugu yangu. Haya mambo ukiyaweka kicwani mwako yanakuwa kweli.

Kwa msaada tafuta kitabu kilichoandikwa na Munga Tehenan (R.I.P) Kiitwacho namna ya kipata bahati, pesa na mafanikio. Utaana kila kitu humo.

Au tafuta kitabu kilichoandikwa na Bryan Adams kiitwacho How to succeed.
Asante Wassira
 
Kama kuna watu upo nao wapunguze katika maisha yako,kuna watu wana mikosi gundu kaa mbali nao
 
Aidha ukaoge makaburini mchana kweupe ukiwa uchi wa mnyama au ukaogee makaburini peke yako usiku wa giza nene maji ya kutoka baharini yaliyotemwa na gegereka

Acha ushirikina.
 
Yamenizidi kimo sina mengi zaidi ya kuomba msaada.
Kaoge maji ya chumvi kwa siku 7 au kaoge maji ya bahari kwa muda wa siku 7 Nuksi zako zitapunguwa.Ukitaka kuondokana na hayo matatizo yako nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Back
Top Bottom