Sigara Kali JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 3,623 Reaction score 8,442 Oct 28, 2017 #1 Salaam wana taaluma ya afya! Jana nimekua nasumbuliwa na kichwa tangu juzi,Jana jioni nikaenda kupima nkakutwa na malaria 4 .
Salaam wana taaluma ya afya! Jana nimekua nasumbuliwa na kichwa tangu juzi,Jana jioni nikaenda kupima nkakutwa na malaria 4 .
proxy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 1,479 Reaction score 1,348 Oct 28, 2017 #2 Mara nyingine wanashauri pima na uwingi wa damu pia,kwa ushauri zaidi nenda hospital.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Oct 28, 2017 #3 Hata panadol zinatuliza haraka...kula chakula meza hizo dawa halafu kunywa maji mengi then pumzika(jaribu kulala usingizi) Ukiamka kitakuwa kimepoa
Hata panadol zinatuliza haraka...kula chakula meza hizo dawa halafu kunywa maji mengi then pumzika(jaribu kulala usingizi) Ukiamka kitakuwa kimepoa
S siti ya mbele Senior Member Joined May 3, 2017 Posts 183 Reaction score 146 Oct 28, 2017 #4 Diclopar MR itakusaidia
D Donasian kabengo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2016 Posts 791 Reaction score 405 Oct 28, 2017 #5 Hedex