Msaada: Dawa ya kuondoka maumivu ya kichwa kwa haraka

Msaada: Dawa ya kuondoka maumivu ya kichwa kwa haraka

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Salaam wana taaluma ya afya!

Jana nimekua nasumbuliwa na kichwa tangu juzi,Jana jioni nikaenda kupima nkakutwa na malaria 4

.
 
Mara nyingine wanashauri pima na uwingi wa damu pia,kwa ushauri zaidi nenda hospital.
 
Hata panadol zinatuliza haraka...kula chakula meza hizo dawa halafu kunywa maji mengi then pumzika(jaribu kulala usingizi)
Ukiamka kitakuwa kimepoa
 
Back
Top Bottom