Jmn wapendwa habr, mm ni msichana nilikuwa mwembamba b4 ila siku izi nimeanza kunenepa cha ajabu tumbo linakuwa kubwa nguo hazinipendez yan naona kero, msaada nifanyaje ili niiepuke hii hali jmn
jitazame kama unatumia njia za uzazi wa mpango mfano sindano huwa zina "wafumua" watu ghafla, kwa hiyo muone Dr. akushauri njia nyingine ya uzazi wa mpango