Kitambi ni style ya maisha unayoishi na unavyokula kabla ya mda wa kula....kwanza punguza vyakula vyenye protein nyingi, badala yake ubadili style za kula. Asubuhi ule vizuri, masaa ya katikati ya mchana asubuhi hata pipi usitie mdomoni, labda maji ya kunywa. Alafu mchana ule kiasi kidogo. Masaa ya kati ya mchana na jioni usile chochote. Jioni chakula chako kiwe matunda tu ili kuruhusu mwili ichukue yale mafuta mazito tumboni, yageuzwe kuwa wanga, then inageuzwa tena kuwa sukari rahisi yaani glucose ili ifae kuupa mwili nguvu. Kila siku style yako ya kula ikiwa hivo utakuwa adui wa kitambi coz vitambi hujengeka usiku wakati mwili haufanyi kazi na mzunguko wa damu ni Mdogo. Hivyo chakula unachokula usiku inautesa tumbo badala yake tumbo inaamua chakula igeuzwe kuwa mafuta mazito alafu iwekwe stoo, hiyo stoo ndo kitambi.