Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
Mkuu paka viks kwa usiku mmoja au dawa ya mswaki lala asubui ukiamka ukuliminya tu habari inaisha inatoka uchaf wote na ule moyo wake
Saga kitunguu saumu kisha pakaa kwenye jipu litaiva na kuweza kulitumbuwa kwa urahisi zaidi. uguwa pole.Habari zenu wakuu.
Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone?
Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu.