Msaada: Dawa ya kutibu jipu

Msaada: Dawa ya kutibu jipu

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
619
Habari zenu wakuu.

Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone?

Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu.
 
Pole kwa maumivu. Dawa ya jipu ni kulitumbua tu! Majipu yaliwahi kunitesa sana enzi za utotoni sitosahau...
 
Mkuu paka viks kwa usiku mmoja au dawa ya mswaki lala asubui ukiamka ukuliminya tu habari inaisha inatoka uchaf wote na ule moyo wake
 
Habari zenu wakuu.

Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone?

Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu.
Saga kitunguu saumu kisha pakaa kwenye jipu litaiva na kuweza kulitumbuwa kwa urahisi zaidi. uguwa pole.
 
Back
Top Bottom