Msaada: Dawa ya makalio makubwa kwa wanaume

prof kisambuka

Senior Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
132
Reaction score
137
Habari ya majukumu JF.

Nina rafiki yangu wa karibu(mwanaume) ni mtanashati (handsome) sana lakini ana tatizo la kuwa na makalio makubwa sana jambo ambalo limekua likimuondolea ujasiri (confidence) mbele za watu na hata mbele za wanawake. Anashindwa kuvaa nguo za kuchomekea kwa hofu ya mchomozo wa makalio.

Nimewahi kumshauri afanye mazoezi lakini pamoja na kujitahidi kufanya mazoezi sana na kupungua mwiil kwa kiasi kikubwa lakini makalio hayapungui kwa kiasi kikubwa kama mwili unavyopungua.

Ombi kwa anayejua dawa yoyote nzuri ya kupunguza makalio atakuwa msaada kwa rafiki yangu na watanzania wengine wenye matatizo kama hayo ambao hawajui tiba.
==========
Biologically mwili wa binadamu una hormone mbili znazo deal na kuratibu umbile la kiume na la kike. Nazo ni oestrogen na testosterone. Achilia mbali progesterone, hii uhusika zaidi na pregnancy maintenance.

Tukianza na testosterone, hii hustimulate zaidi male sex parts pia development of muscle na kazi zingine lakini pia male ana secrete oestrogen in small amount ambayo inasaidia some balancing kwa mwanaume lakini ndo inayohusika sana kwenye development ya sex parts za females kama breast, hips na makalio.

Hivyo kama kutakuwa na production kubwa ya oestrogen kwa mwanaume badala ya testosterone kutapelekea mwanaume huyo kuanza kudevelop zaidi makalio pia mwangalie hips zake zitakuwa proportional pia hata akifanya sana mazoezi mfano gym hawezi kuwa na development nzuri ya muscles coz of production ya testosterone si kubwa sana.

Ushauri: Apunguze kutumia vyakula vinavyostimulate production ya oestrogen. Mojawapo apunguze utumiaji wa sukari kwa wingi, white bread na vyakula vingine. But atumie zaidi vyakula vinavyoongeza production ya testosterone kama groundnuts na jamii yake, mbegu za matikiti maji. Hivyo ni baadhi tu, pia anaweza visit hospital 4 more advice.
 
Unajua kila mwanaume ana makalio kulingana na mwili wake, asa unataka kunambia yeye makalio yake ni kama yale ya kina Masogange na Sepenga yaani ana msambwanda?! Tuanzie hapa kwanza then tushauri nn cha kufanya!
 
broo hayo ni maimbile asee hayabadiliki sasa na mm mwenye matege km ya van persie niombe dawa??haiwezekani ni maumbile tuu kw ushauri naona labda awe anavaa nyanya puza au kanzu na misuri kuficha mpododo au mfuzi
 
Unajua kila mwanaume ana makalio kulingana na mwili wake,asa unataka kunambia yeye makalio yake ni kama yale ya kina Masogange na Sepenga yaani ana msambwanda?!Tuanzie hapa kwanza then tushauri nn cha kufanya!
Ndugu yangu makalio yake ukiyaona ni very abnormal to men kias kwamba ukimuona utamuhurumia tu.
 
Dawa ipo mkuu wala asipate shida. Kuna hospital ipo Kenya inafanya surgery nzuri yanapunguzwa kadiri atavyopenda yeye mwenyewe. Nothing impossible under the control of human being
 
Aende gym apate coach ashughulikie hiyo angle kwa sana. Kuna mazoezi ya kupunguza specifiz parts za mwili
 
Biologically mwili wa binadamu una hormone mbili znazo deal na kuratibu umbile la kiume na la kike. Nazo ni oestrogen na testosterone. Achilia mbali progesterone, hii uhusika zaidi na pregnancy maintenance.

Tukianza na testosterone, hii hustimulate zaidi male sex parts pia development of muscle na kazi zingine lakini pia male ana secrete oestrogen in small amount ambayo inasaidia some balancing kwa mwanaume lakini ndo inayohusika sana kwenye development ya sex parts za females kama breast, hips na makalio.

Hivyo kama kutakuwa na production kubwa ya oestrogen kwa mwanaume badala ya testosterone kutapelekea mwanaume huyo kuanza kudevelop zaidi makalio pia mwangalie hips zake zitakuwa proportional pia hata akifanya sana mazoezi mfano gym hawezi kuwa na development nzuri ya muscles coz of production ya testosterone si kubwa sana.

Ushauri: Apunguze kutumia vyakula vinavyostimulate production ya oestrogen. Mojawapo apunguze utumiaji wa sukari kwa wingi, white bread na vyakula vingine. But atumie zaidi vyakula vinavyoongeza production ya testosterone kama groundnuts na jamii yake, mbegu za matikiti maji. Hivyo ni baadhi tu, pia anaweza visit hospital 4 more advice.
 
Mavazi yake avae mapana, asivae vimodo na akichomekea asifunge mkanda juu ya tumbo aushushe kidogo mkanda chini ya kitovu
 
Habari ya majukumu JF.

Nina rafiki yangu wa karibu(mwanaume) ni mtanashati (handsome) sana lakini ana tatizo la kuwa na makalio makubwa sana jambo ambalo limekua likimuondolea ujasiri (confidence) mbele za watu na hata mbele za wanawake. Anashindwa kuvaa nguo za kuchomekea kwa hofu ya mchomozo wa makalio.

Nimewahi kumshauri afanye mazoezi lakini pamoja na kujitahidi kufanya mazoezi sana na kupungua mwiil kwa kiasi kikubwa lakini makalio hayapungui kwa kiasi kikubwa kama mwili unavyopungua.

Ombi kwa anayejua dawa yoyote nzuri ya kupunguza makalio atakuwa msaada kwa rafiki yangu na watanzania wengine wenye matatizo kama hayo ambao hawajui tiba.
==========
Skwachi mwisho wa mataizo....mwambie apige sana skwachi.....asubuhi na jioni
NB...Mwambie aangalie you tube jinsi ya kupigwa skwachi....akikosea atayaongeza
 
Nadhani cha msingi ajikubali na avae nguo zisizombana.
Kuna wanaume wanarithi maumbile ya kike tena mbaya zaidi kama mama yake kaumbika haswa.
Ajitahidi apunguze mwili na asinenepe mana akifanya tu hizo ile shape inajitokeza hasa.
Kuna wanaume wapo hivo na kuna mmoja namfahamu alikuwa ana figa namba nane kabisa ila alijitahid akapungua sana lile umbo likapotea kwa kiasi kikubwa.
 
Back
Top Bottom