Msaada: Dawa ya makalio makubwa kwa wanaume

Msaada: Dawa ya makalio makubwa kwa wanaume

Skwachi mwisho wa mataizo....mwambie apige sana skwachi.....asubuhi na jioni
NB...Mwambie aangalie you tube jinsi ya kupigwa skwachi....akikosea atayaongeza
Kwani mkuu skwachi inasaidia nini? Si kuongeza makalio? Halafu ndio yanaitwa squat pia?
 
fanya vitu vitatu kwanza usile vyakula vya wanga na mafuta kbs yan tumia km 30% tu..ww una hormone ya ostrojen nyingi due to bad eating and genes,pili kimbia kila siku na gym saaana cha tatu kula dawa za gym za kutoa mafuta uwaga zinakata nyama ktk hali ya ajabu sn unakua na misuli mingi nunua online ila ziwe zimemeet standard za america....zinaboost T hormone hrk na kufight fatbody faster sasa hiyo ndo iwe lifestyle yako forever otherwise ni ngumu
 
apige chuma kusudi nyama za chini ziende juu
 
wanaweza kata nyama hiyo,wakaongezea kwenye mashavu
 
Aende Gym afanye zoezi atapungua tu, ila akaze sana inahitaji moyo.
 
Skwachi mwisho wa mataizo....mwambie apige sana skwachi.....asubuhi na jioni
NB...Mwambie aangalie you tube jinsi ya kupigwa skwachi....akikosea atayaongeza
hapo ndo unamuogozea sasa alingane na kina shishi bby
 
dawa yake ni achukue bati alipashe moto mpaka liwe jekundu thn avue nguo zote alikalie bati kwa dakika tano afanye ivyo kwa siku tano
 
Dawa ya makalio makubwa kwa mwanaume ni kufanya mapenzi kwa wingi huku ukisindikiza na mazoezi pia lakin zingatia vyakula unavyo kul', usile chips Au vyakula lain au vya kutoka viwandani ', jaribu kuwa naturally !!
 
Back
Top Bottom