noma sanakw ushauri naona labda awe anavaa nyanya puza au kanzu na misuri kuficha mpododo au mfuzi
Kwani mkuu skwachi inasaidia nini? Si kuongeza makalio? Halafu ndio yanaitwa squat pia?Skwachi mwisho wa mataizo....mwambie apige sana skwachi.....asubuhi na jioni
NB...Mwambie aangalie you tube jinsi ya kupigwa skwachi....akikosea atayaongeza
Umeyaonaje wakati anavaa nguo kuyasitiri.Ndugu yangu makalio yake ukiyaona ni very abnormal to men kias kwamba ukimuona utamuhurumia tu.
hapo ndo unamuogozea sasa alingane na kina shishi bbySkwachi mwisho wa mataizo....mwambie apige sana skwachi.....asubuhi na jioni
NB...Mwambie aangalie you tube jinsi ya kupigwa skwachi....akikosea atayaongeza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi popobawa yupo wap siku hizi?
Amesema ni rafiki yake ila nina wasiwasi yeye ndiye muhusikaUmeyaonaje wakati anavaa nguo kuyasitiri.
Avater yako tu imekaa kibasha, inaakisi ufirauni wako.
picha tafadhari mkuuNdugu yangu makalio yake ukiyaona ni very abnormal to men kias kwamba ukimuona utamuhurumia tu.