Nyamongo kwao
Member
- Jan 1, 2013
- 48
- 4
yanauma sana mzaziFafanua anasumbuliwa vipi na meno?
yanauma sana mzazi
- Ana mashimo kwenye meno?caries?
- Yanakufa ganzi?
- Ana teeth enamel loss/kulika kwa meno?
Pole...Hio sehemu ilolika huwezi kuirudisha lakini kuna njia unaweza kuzifanya kuyakinga hayo meno yaliyobakia kupatwa na hali hio nazo ni :mkuu me tatizo langu ni hilo number 3 ilianza kitobo katikati ya meno 2 ya mbele baadaye ukawa kama mwanya saiv uwazi umeongezeka zaidi nina wasiwasi nitakuwa na mapengo msaada please
Pole...Hio sehemu ilolika huwezi kuirudisha lakini kuna njia unaweza kuzifanya kuyakinga hayo meno yaliyobakia kupatwa na hali hio nazo ni :
- Kupunguza matumizi ya vinywaji vichachu kama juisi na soda,jijengee ratiba ya kunywa zaidi maji na maziwa.Maziwa yana madini ya calcium ambayo yanafanya meno kuwa imara na kupata uhalisia wake
- Kutokula kwa wingi matunda machachu(citrus fruits)kama machungwa,malimao n.k
- Kupiga mswaki na dawa yenye madini ya flour na kuna dawa ya mswaki pia inauzwa maalum kwa watu wenye tatizo la meno kulika sijui kama inapatikana huko au kula extra flour tablets!
- Tumia mouthwash iliyo na flour
- Tumia mswaki mlaini,na upige mswaki mara mbili kwa siku asubuhi na usiku
- Tumia dental floss kusafisha maeneo ya katikati ya meno(uwazi ulio kati ya jino na jino).Hio dental floss ipake dawa ya meno ukiwa unatumia kusafisha.Kwasababu unaweza pia upate mashimo kati ya jino na jino!
- Nakushauri vilevile ukaonane na daktari wa meno ili upate matibabu kama una mashimo kwenye meno na ni vizuri kuhudhuria pia ili kusafisha meno na kwa afya njema ya meno!
baba yangu 72yrs anasumbuliwa sana na meno anayejua dawa naomba tumsaidie,hata chakula anakula cha vuguvugu kwa sasa.
Yaan kama unazijua ndula au kama waweza kuzipata hilo neo suluhisho yaan hiyo Dada ukisukutua Mara Tatu tu hutasikia tena unaumwa meno yani hiyo uhakika coz mie mwenyewe shahid toka nimepata ile 2011 had Leo sijapata shida ile tena ni ya uhakika kwa kweli
ndula ni nini? pia mimi ni male si dada!Yaan kama unazijua ndula au kama waweza kuzipata hilo neo suluhisho yaan hiyo Dada ukisukutua Mara Tatu tu hutasikia tena unaumwa meno yani hiyo uhakika coz mie mwenyewe shahid toka nimepata ile 2011 had Leo sijapata shida ile tena ni ya uhakika kwa kweli