msaada dawa ya meno pls

msaada dawa ya meno pls

Nyamongo kwao

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
48
Reaction score
4
baba yangu 72yrs anasumbuliwa sana na meno anayejua dawa naomba tumsaidie,hata chakula anakula cha vuguvugu kwa sasa.
 
mkuu majivu na chumvi au umesahau?mbona unasahau mapema hivi tulikotokea?
 
Mwambie atumie dawa ya meno ya medioral ni kiboko yao, na bei ni rahisi.
 
Mdalasin changanya na asali weka kwenye Jino Two times per day for three days
 
  1. Ana mashimo kwenye meno?caries?
  2. Yanakufa ganzi?
  3. Ana teeth enamel loss/kulika kwa meno?

mkuu me tatizo langu ni hilo number 3 ilianza kitobo katikati ya meno 2 ya mbele baadaye ukawa kama mwanya saiv uwazi umeongezeka zaidi nina wasiwasi nitakuwa na mapengo msaada please
 
Pole...Hio sehemu ilolika huwezi kuirudisha lakini kuna njia unaweza kuzifanya kuyakinga hayo meno yaliyobakia kupatwa na hali hio nazo ni :
  1. Kupunguza matumizi ya vinywaji vichachu kama juisi na soda,jijengee ratiba ya kunywa zaidi maji na maziwa.Maziwa yana madini ya calcium ambayo yanafanya meno kuwa imara na kupata uhalisia wake
  2. Kutokula kwa wingi matunda machachu(citrus fruits)kama machungwa,malimao n.k
  3. Kupiga mswaki na dawa yenye madini ya flour na kuna dawa ya mswaki pia inauzwa maalum kwa watu wenye tatizo la meno kulika sijui kama inapatikana huko au kula extra flour tablets!
  4. Tumia mouthwash iliyo na flour
  5. Tumia mswaki mlaini,na upige mswaki mara mbili kwa siku asubuhi na usiku
  6. Tumia dental floss kusafisha maeneo ya katikati ya meno(uwazi ulio kati ya jino na jino).Hio dental floss ipake dawa ya meno ukiwa unatumia kusafisha.Kwasababu unaweza pia upate mashimo kati ya jino na jino!
  7. Nakushauri vilevile ukaonane na daktari wa meno ili upate matibabu kama una mashimo kwenye meno na ni vizuri kuhudhuria pia ili kusafisha meno na kwa afya njema ya meno!
 
thanks
 
baba yangu 72yrs anasumbuliwa sana na meno anayejua dawa naomba tumsaidie,hata chakula anakula cha vuguvugu kwa sasa.

Yaan kama unazijua ndula au kama waweza kuzipata hilo neo suluhisho yaan hiyo Dada ukisukutua Mara Tatu tu hutasikia tena unaumwa meno yani hiyo uhakika coz mie mwenyewe shahid toka nimepata ile 2011 had Leo sijapata shida ile tena ni ya uhakika kwa kweli
 
Unasukutuaje ndula mkuu?
Fafanua tafadhali
 
Yaan kama unazijua ndula au kama waweza kuzipata hilo neo suluhisho yaan hiyo Dada ukisukutua Mara Tatu tu hutasikia tena unaumwa meno yani hiyo uhakika coz mie mwenyewe shahid toka nimepata ile 2011 had Leo sijapata shida ile tena ni ya uhakika kwa kweli
ndula ni nini? pia mimi ni male si dada!
 
Back
Top Bottom