Msaada: Dawa ya Mijusi

Msaada: Dawa ya Mijusi

98% ya wanadamu duniani wanaishi na mijusi majumbani bila tatizo lolote. Kazi yao kubwa ni kuua insects 🐝🦋 ndani. Hawa ni mijusi weupe, namna ya kuwaepuka hawa ni kutowafikiria kabisa na kuwachukulia kama wasaidizi ndani hutapata tabu. Kujaribu kupingana nao kuna madhara zaidi ya kuishi nao.
 
98% ya wanadamu duniani wanaishi na mijusi majumbani bila tatizo lolote. Kazi yao kubwa ni kuua insects [emoji219][emoji1652] ndani. Hawa ni mijusi weupe, namna ya kuwaepuka hawa ni kutowafikiria kabisa na kuwachukulia kama wasaidizi ndani hutapata tabu. Kujaribu kupingana nao kuna madhara zaidi ya kuishi nao.
Umemaliza[emoji109]
 
Nilikuwa nataka niulizie dawa au njia ya kuwaangamiza mijusi hawa.. Nikakuta kumbe swali lilishaulizwa.. Naomba nilirudishe tena swali hili.. Ndugu zangu, nitumie njia gani kuwaangamiza mijusi wanaoishi ndani ya nyumba..??
 
Natafuta dawa ya kuzuia mijusi isiingie ndani ya nyumba
Ukizuwia mbu, nzi na wadudu warukao kuingia kwako utakuwa umewakimbiza mijusi.

Chakula kikubwa cha mijusi ni nzi, mbu na wadudu warukao.

Wakikosa kula hawakai.

Ziba na tundu na penyo zote wanazoweza kuingia na kujificha.
 
98% ya wanadamu duniani wanaishi na mijusi majumbani bila tatizo lolote. Kazi yao kubwa ni kuua insects 🐝🦋 ndani. Hawa ni mijusi weupe, namna ya kuwaepuka hawa ni kutowafikiria kabisa na kuwachukulia kama wasaidizi ndani hutapata tabu. Kujaribu kupingana nao kuna madhara zaidi ya kuishi nao.
Wewe jamaa umetisha! Yaani kuishi na mijusi ndani ya nyumba unaona sawa? Kiafrika Africa mijusi ni mashetani na mizimu ya kwenu inakufuatilia! Mimi niliiua yote na kakijitokeza kakiniona kanakimbia!
 
Chakufanya ni kukarabati vizuri nyumba yako na kuondoa maeneo ya kutagia mayai na kuzaliana. Njia rahisi ya kuwaangamiza ni kuwapiga!
 
Mkuu, kama hupendi paka na mbwa. Mijusi ni altenative., hawaogopi watu. Unaenjoy tu kuitazama inavyotembea darini na kwenye kuta. Ikishakuzoea ndiyo kabisa, inakuja mpaka miguuni
 
Paka kitunguu saumu ukutani,utakuja kunishukuru hapa.
 
Kata kata Vitunguu maji..weka maeneo wanayopendelea kukaa..
Halafu uje unishukuru.
 
Back
Top Bottom