Msaada dawa ya mitishamba ya appendix

Msaada dawa ya mitishamba ya appendix

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Habari wataalamu wa Afya,


Nina Mgonjwa Anasumbuliwa sana Na Appendex. Hayupo tayari kufanyiwa Operation. Kulingana na Athari za Operation kwenye mwili. Japo ni operation ndogo lakini amekataa katakata kufanyiwa Operation.

MSAADA KWA MTU ANAYEWEZA KUTUSAIDIA KUPATA DAWA ZA MITISHAMBA ZENYE UWEZO WA KUONDOA KABISA TATIZO

JF naamini hapa nitapata msaada .

Natanguliza shukrani wakuu.

NAOMBENI MSAADA WENU.
 
Appendex!!!?
Ndio nini,hebu eleza kwa kiswahili ili tujue tunaanzia wap
 
Huyo mgonjwa atakufa kwa sababu ya ujinga wake.Operation ya appendicitis ni ndogo sana na ikifanywa na mtu sahihi haina shida kabisa
 
Habari wataalamu wa Afya,


Nina Mgonjwa Anasumbuliwa sana Na Appendex. Hayupo tayari kufanyiwa Operation. Kulingana na Athari za Operation kwenye mwili. Japo ni operation ndogo lakini amekataa katakata kufanyiwa Operation.

MSAADA KWA MTU ANAYEWEZA KUTUSAIDIA KUPATA DAWA ZA MITISHAMBA ZENYE UWEZO WA KUONDOA KABISA TATIZO

JF naamini hapa nitapata msaada .

Natanguliza shukrani wakuu.

NAOMBENI MSAADA WENU.
Habari,
Kama tatizo la msingi ni kidole tumbo kweli:

1: Ni vyema kupata mtu anaeweza kumpatia taarifa kamili mhusika. Tunatofautiana kwenye kufikisha taarifa na kushawishi.

2: Ni vyema aelewe kiasi cha UPATU anaoucheza kwenye maisha yake.


3: Pamoja na kuwa na kidole tumbo bado kulingana na hali yake/stage huwa kuna nafasi ya kupewa antibiotics nzuri chini ya usimamizi wa daktari/ under monitoring kuliko huko kienyeji.

4: Pia bado huwa kuna nafasi ya kutengeneza jipu kubwa/ appendcular abscess, ambayo pia ni hatari sana kukaa nalo au kufanya upasuaji. Mfumo tofauti wa upasuaji wa kumsaidia mgonjwa hutumika. Na gharama huwa juu zaidi kwa hili.

NB: Tahadhali ni muhimu kulingana na hali halisi na hali ya mgonjwa husika, kuhusu uamzi wowote zaidi ya mwafaka wa mtoa huduma ya afya kuzingatiwa baada ya kueleweshwa vyema.
 
Dawa rahisi na ya haraka kupona ni mchanganyiko wa asali na limao chap unapona
 
Back
Top Bottom