E Eddy mtatina Senior Member Joined Jan 8, 2014 Posts 174 Reaction score 142 Nov 7, 2018 #1 Heshima kwenu! Naomba msaada wa dawa ya kutibu vipele vinavyotokana na joto kuzidi kwa mtoto mdogo wa miezi 11.
Heshima kwenu! Naomba msaada wa dawa ya kutibu vipele vinavyotokana na joto kuzidi kwa mtoto mdogo wa miezi 11.
binti wa kirombo JF-Expert Member Joined May 17, 2016 Posts 847 Reaction score 960 Nov 10, 2018 #2 Eddy mtatina said: Heshima kwenu! Naomba msaada wa dawa ya kutibu vipele vinavyotokana na joto kuzidi kwa mtoto mdogo wa miezi 11. Click to expand... Pole mamy hata wakwangu alipitimiza miezi mitatu mapele ya jotoyalimtokea shingoni na sehemu zote wenye mikunjo yakachubuka ni balaaa nikampeleka kwa dokta wa watoto atanipa dawa hii betaderm nm cream na kumsaidia akapona
Eddy mtatina said: Heshima kwenu! Naomba msaada wa dawa ya kutibu vipele vinavyotokana na joto kuzidi kwa mtoto mdogo wa miezi 11. Click to expand... Pole mamy hata wakwangu alipitimiza miezi mitatu mapele ya jotoyalimtokea shingoni na sehemu zote wenye mikunjo yakachubuka ni balaaa nikampeleka kwa dokta wa watoto atanipa dawa hii betaderm nm cream na kumsaidia akapona