Msaada Dawa ya vipere vya joto shingoni kwa mtoto mdogo

Msaada Dawa ya vipere vya joto shingoni kwa mtoto mdogo

Eddy mtatina

Senior Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
174
Reaction score
142
Heshima kwenu!
Naomba msaada wa dawa ya kutibu vipele vinavyotokana na joto kuzidi kwa mtoto mdogo wa miezi 11.
 
Heshima kwenu!
Naomba msaada wa dawa ya kutibu vipele vinavyotokana na joto kuzidi kwa mtoto mdogo wa miezi 11.
Pole mamy hata wakwangu alipitimiza miezi mitatu mapele ya jotoyalimtokea shingoni na sehemu zote wenye mikunjo yakachubuka ni balaaa nikampeleka kwa dokta wa watoto atanipa dawa hii betaderm nm cream na kumsaidia akapona
15418500871711349495445.jpg
15418500871711349495445.jpg
 
Back
Top Bottom