Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali waungwana... Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu dawa ya visiki shambani...
iv unakil timamu wewe? dawa ya visiki ni kung'o fulstop
Ni kweli najua kuving'oa pia ni dawa, lkn nilishasikia tetesi kwamba kuna dawa ya kupaka kweny visiki na vinaisha vyenyewe. Kwny shamba kubwa na jipya visiki ni vingi sana na kuving'oa ni gharama kubwa.
Ni kweli najua kuving'oa pia ni dawa, lkn nilishasikia tetesi kwamba kuna dawa ya kupaka kweny visiki na vinaisha vyenyewe. Kwny shamba kubwa na jipya visiki ni vingi sana na kuving'oa ni gharama kubwa.
Unaweza kuanzia hapa (nimeinyofoa mahala fulani):Tafadhali waungwana... Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu dawa ya visiki shambani...
Chemical impregnation
Methods of boring holes in stumps and impregnating them with saltpeter or other chemicals have been promoted for decades.
These compounds are advertised from time to time in farm publications. A University of Illinois leaflet recommends impregnation with a mixture of cupric chloride, sodium dichromate, lead acetate (basic), and manganese chloride marketed under the name "Stumpfyre." It is applied to a stump in the spring and allowed to diffuse through the wood for 2 or 3 months before the stump is fired. Although reported helpful in the Midwest, largely on elm stumps, much work is involved and we have heard no reports of success with this or other chemical impregnation under Northwest conditions.
Inaonyesha niko nyuma sana ya wakati...., duh
Mimi nina shamba jipya huu ni mwaka wa pili nalilima, lina visiki sana. Nimewauliza wenyeji wangu dawa ni nini na wakaniambia dawa ni kucharanga hayo majani kwenye hivyo visiki kila wakati yakuapo. Wanasema kadri ukatavyo charanga hayo machipuka, mizizi inafanya kazi ya ziada kuleta chakula cha kuchipua hayo majani hadi inachoka na hatimaye kufa/kuoza na kufanya hicho kisiki kung'oka/kung'olewa kwa urahisi. Nafanya hivyo kila mara niendapo shamba na naanza kuona ukweli wake. Wanasema ukiendelea hivyo in two years shamba linakuwa safi na unaweza hata ingiza trekta! Utashangaa. JARIBU HIYO NA WEWE!
Tafadhali waungwana... Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu dawa ya visiki shambani...
Ni kweli najua kuving'oa pia ni dawa, lkn nilishasikia tetesi kwamba kuna dawa ya kupaka kweny visiki na vinaisha vyenyewe.