Kama upo comfortable ifungue isafishe, toa cooler Eka thermal paste kama unayo, rudisha cooler ibane vizuri, Hakikisha waya wa feni umechomekwa vizuri, etc...Hakuna beep yoyote ile. Kuna muda kilikuwa kinatokea kimwanga chekundu ila sasa hivi kinatoke kile kimwanga cha kawaida.
Habari waungwana!
Kuna muda nilikuwa nafanya kazi then umeme ukakatika.
Baada ya umeme kurudi nilipojaribu kuwasha, monitor ikawa haioneshi chochote. Baada ya ya karibu dakika moja hivi, feni ikaanza kuzunguka kwa kasi sana. Hilo tatizo lilijirudia kila nilipojaribu kuwasha.
Je, tatizo ni nini waungwana?