Msaada: Dhakar yangu haisimami

Msaada: Dhakar yangu haisimami

Tupo usukumani huku, bila shaka tatizo lako litapona,

wanatibu Machine ambayo haijawahi simama kabisa, wanatibu upungufu wa nguvu za kiume yani inakuwa na presha kidogo kuliko kawaida.

kama mashine haijahi simama, unachukua mtoto wa mbuzi aliye zaliwa baada ya siku tatu alafu unakata kale kakitovu ambako huwa kananing'inia , unakausha, unakasaga unakuwa unga unga, kisha unachanganya na dawa ya mti shamba, machine tayari inakuwa katika Grid ya Taifa.
 
Kama waswas wako ni kuhusu starehe usijali Kuna msemo unasema mlango mmoja ukifungwa jaribu mwingine so umeshindwa kula bas tafuta mtu WA kukula wewe bado utapata starehe,kama issue ni watoto hapo ndipo panafikirisha
Acha utani wewe
 
Back
Top Bottom