Naomba kujua baadhi ya mashine ulizozitumia ku diagnose,hiyo DLC yake ni OBD II na inasupport.Nina Mitsubish PAJERO IO ACTIVE FIELD EDITION 4G93 1.8 L Engine. Ninejaribu fanya Diagnostics kutumia Machine mbalimbali lakini inaonekana ECU yake inachagua machine ya kusomea.
Ni wapi naweza fanya pata machine yenye kuweza fanya Diagnostic ya hii engine.?
Ndogo sanaNilienda AUTO Express. Kama sijakosea wana machine model number CRP 129 Diagnostic Machine
Niliagizaga nje mudu muda kidogo. By the time ilikuwa almost $350.Uliinunua wapi.? Kiasi gani.?
Niliagizaga nje mudu muda kidogo. By the time ilikuwa almost $350.
Nowadays easydiag 3.0 na 4.0 zimeadimika sana.
Hii ipo compatible na gari yoyote ndogo. As long as ina port ya obd ii na inafanya kazi.Unapatikana wapi.? Ikiwezekana nije niitest kama ipo compatible na gari yangu nami niagize. Maana hii nenda kwa fundi kila tatizo linapoibuka siyo convinient. Vishida vidogovidogo niwe namalizana navyo mwenyewe
Mkuu diagnosis unafanya kwa Bei gan?Hii ipo compatible na gari yoyote ndogo. As long as ina port ya obd ii na inafanya kazi.
Nipo Magomeni.
30,000 kwa engine au 50,000 kwa mifumo yote.Mkuu diagnosis unafanya kwa Bei gan?