MSAADA : Diagnostic Machine

MSAADA : Diagnostic Machine

Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
4,119
Reaction score
4,779
Nina Mitsubish PAJERO IO ACTIVE FIELD EDITION 4G93 1.8 L Engine. Ninejaribu fanya Diagnostics kutumia Machine mbalimbali lakini inaonekana ECU yake inachagua machine ya kusomea.

Ni wapi naweza fanya pata machine yenye kuweza fanya Diagnostic ya hii engine.?
 
Naomba kujua baadhi ya mashine ulizozitumia ku diagnose,hiyo DLC yake ni OBD II na inasupport.
 
Nilienda AUTO Express. Kama sijakosea wana machine model number CRP 129 Diagnostic Machine
 
Tafuta mtu aliye na mashine THINKDIAG 431+ Hiyo baba haishindwi nenda pale sinza kumekucha oposite na kanisa la KKT kuna mwana anaiwa Army key na ana mashine za uhakika kwa dignosis au mchek jitu la MIRABA MINNE.
 
IMG_1373.jpg

Unamaanisha hyo.?
 
Niliagizaga nje mudu muda kidogo. By the time ilikuwa almost $350.

Nowadays easydiag 3.0 na 4.0 zimeadimika sana.

Unapatikana wapi.? Ikiwezekana nije niitest kama ipo compatible na gari yangu nami niagize. Maana hii nenda kwa fundi kila tatizo linapoibuka siyo convinient. Vishida vidogovidogo niwe namalizana navyo mwenyewe
 
Hii ipo compatible na gari yoyote ndogo. As long as ina port ya obd ii na inafanya kazi.

Nipo Magomeni.
 
Ok, mimi napatikana kinondoni. Kama hutojali. Naomba namba Yako PM ili leo ama kesho tuweze onana.
 
Back
Top Bottom