H Harooney Member Joined Sep 14, 2014 Posts 37 Reaction score 2 Sep 28, 2014 #1 Jaman napenda kuwaomba kwa yeyote anaejua chuo kizur cha afya ngaz ya diploma ambacho bado kinapokea wanafunz wakati huu,na kwa ada nafuu,anijuze coz nataka kwenda kusoma mwaka huu baada ya tcu kuniacha,mm ni 4m6
Jaman napenda kuwaomba kwa yeyote anaejua chuo kizur cha afya ngaz ya diploma ambacho bado kinapokea wanafunz wakati huu,na kwa ada nafuu,anijuze coz nataka kwenda kusoma mwaka huu baada ya tcu kuniacha,mm ni 4m6
geniusbaraka JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 795 Reaction score 155 Sep 28, 2014 #2 Nenda Ajuco