Jaman napenda kuwaomba kwa yeyote anaejua chuo kizur cha afya ngaz ya diploma ambacho bado kinapokea wanafunz wakati huu,na kwa ada nafuu,anijuze coz nataka kwenda kusoma mwaka huu baada ya tcu kuniacha,mm ni 4m6
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.