Msaada: Dishi lipi zuri kwa matumizi?

Msaada: Dishi lipi zuri kwa matumizi?

Kuunganisha fibre unachukua hatua gani
Inategemea na location, kuna fiber ya ZUKU, TTCL naona Tigo nadhani wengine pia. Kama si fiber hata superkasi inafaa. Hiyo ni internet unllimeted. Sasa hapo ukiwa na smart tv unapakua app ya netflix japo smart TV nyingi zinakuja nayo unafungua akaunti kutokana na uwezo wako watakueleza packages za akaunti Basi unakuwa unastream. So fiber ni kwa ajili ya internet ya kuweza kuaccess NEtflix au showmax japo pia showmax unaweza kulipa ukawa unaifikia via dstv ukitaka bila kuhitaji internet.
 
Ukitaka kutazama movies au series, option pekee ni kuwa na internet nzuri then uwe na huduma za VoD au ufanye piracy ya kushusha movies/series toka kwa pirate sites...
 
Inategemea na location, kuna fiber ya ZUKU, TTCL naona Tigo nadhani wengine pia. Kama si fiber hata superkasi inafaa. Hiyo ni internet unllimeted. Sasa hapo ukiwa na smart tv unapakua app ya netflix japo smart TV nyingi zinakuja nayo unafungua akaunti kutokana na uwezo wako watakueleza packages za akaunti Basi unakuwa unastream. So fiber ni kwa ajili ya internet ya kuweza kuaccess NEtflix au showmax japo pia showmax unaweza kulipa ukawa unaifikia via dstv ukitaka bila kuhitaji internet.
Kama yupo mbali na fibre wire anunue Router hizi za Voda, Airtel au Tigo.
 
Namzungu best yangu kanitext ananiuliza which is the best dish for me to buy so i can watch movies and other good stuff
ndugu yangu anacha na dish kama una tv yako smart inatumia android. nichek nikupe app inakuja na channel 260 tv live za marekani na uingereza, hapo pia nakupa na app za kuangalia movies zote mpya kikubwa tu we na internet tu.
 
Back
Top Bottom