Msaada Div. III.13 HGL.

Msaada Div. III.13 HGL.

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Msaada wa course na vyuo ambavyo anaweza kupata mwenye point 13 HGL. Natanguliza shukurani.
 
Apply education mama ili upate boom bila wasiwasi.
 
Kama mzee yupo Halmashauri najua atamudu kukusomesha Sheria jikite huko!
 
Usijidanganye ukafuata mkopo kwa kuapply education unaweza ukaaply education ukapata na mkopo usipate sikuiz mkopo hawaangalii division we katafte kitab cha tcu uangalie course ya kwenda kulingana na matokeo yako vyuo viko ving huwez kukosa kitu cha kusomea na minimum qualification ni E mbili.
 
Chuo utapata! Tembelea mtandao wa TCU, utaona program na mashari ya udahili. Ila kuhusu BOOM kuna utata ile mbaya, Serikali imebana ile mbaya.
 
Nashukuri sana great thinkers nitayafanyia kazi mawazo yenu
 
Usijidanganye ukafuata mkopo kwa kuapply education unaweza ukaaply education ukapata na mkopo usipate sikuiz mkopo hawaangalii division we katafte kitab cha tcu uangalie course ya kwenda kulingana na matokeo yako vyuo viko ving huwez kukosa kitu cha kusomea na minimum qualification ni E mbili.

Thanks much
 
Back
Top Bottom