Msaada Doctors kuhusu Sperms Analysis

Msaada Doctors kuhusu Sperms Analysis

Nenda kamuone daktari mwingine 'urologist' umsikie anasemaje. Beba hayo majibu na ushauri uanzie hapo. Sasa na wewe waambie wakupime urefu wa naniliu manake inaonrkana umeitumia sana lol. Nakutania mwaya
hajaniambia sababu mkuu...wala altenative! ndo hivyo mkuu nimepeleaka vitu kwenye kibobo nikijua sperm naambiwa hakuna kitu...
 
Back
Top Bottom