murugalama
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 231
- 81
Je unagonga ze drink?
Mkuu.@murugalama Hujatuambia Wewe ni Mke au mume? Una umri gani? umeowa au hujaolewa?matatizo haya tangu yalipo kuanza je uliwahi kwenda Hospitali au la?umeshatumia Dawa gani?bado unaendelea mambo ya ulevi au la?mbona unaeleza matatizo yako nusunusu? Tutakujibu kivipi mkuu?Nimekuwa na tatizo la kutetemeka kwa mikono hasa ninapokuwa ninaandika, ufikia wakati nikashindwa kabisa kuandika na hata kama nikiandika herufi hazieleweki kabisa. Tatizo hili nimeligundua kama miaka mitano iliyopita. Wakuu naombeni msaada kwani tatizo hili ushusha utendaji wangu wa kazi.
Nimekuwa na tatizo la kutetemeka kwa mikono hasa ninapokuwa ninaandika, ufikia wakati nikashindwa kabisa kuandika na hata kama nikiandika herufi hazieleweki kabisa. Tatizo hili nimeligundua kama miaka mitano iliyopita. Wakuu naombeni msaada kwani tatizo hili ushusha utendaji wangu wa kazi.
Mkuu@ MziziMkavu, Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 38, nimeoa na nina watoto wawili, tangu tatizo limeanza sijawahi kulifikisha hospitali. Kuhusu suala la ulevi bado naendelea japokuwa ni kidogo sana.Mkuu.@murugalama Hujatuambia Wewe ni Mke au mume? Una umri gani? umeowa au hujaolewa?matatizo haya tangu yalipo kuanza je uliwahi kwenda Hospitali au la?umeshatumia Dawa gani?bado unaendelea mambo ya ulevi au la?mbona unaeleza matatizo yako nusunusu? Tutakujibu kivipi mkuu?
Asante kwa ushauri@Kifyatu, Tatizo hili ni la kila siku japo dakika kadhaa hupotea na kujirudia tena. huacha kwa km dakika mbili hivi na kurudi tena. mkuu sipati kizunguzungu wala kupoteza balance lkn suala la macho kwangu ni tatizo la muda mrefu km miaka 20 hivi. kuhusu kisukari na blood pressure sina mkuu.Nomba ujibu maswali ya "MziziMkavu" na pia useme:
- How long does this bout last (10 minutes, whole day, etc.)?
- Linatokea kila siku au kwa nadra (once a week, month, etc) ?
- Is it prevelant at particular times of the day or is it random?
- Huku kutetemeka kunafuatiwa na kizunguzungu, temporary loss of vision au loss of balance unaposimama?
- Una Kisukari au elevated blood pressure?
Kama wenzangu walivyosema ni vizuri umuone daktari kwa sababu hili tatizo linaweza kuwa dogo (kama upungufu wa electrolytes mwilini - lishe) lakini pia linaweza kuwa kubwa sana (kama brain tumor - cancerous or benign).
Mkuu livalie njuga hili tatizo.
Itabidi uwache kunywa pombe nenda hospitali kamuona Daktari akupime murugalamaMkuu@ MziziMkavu, Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 38, nimeoa na nina watoto wawili, tangu tatizo limeanza sijawahi kulifikisha hospitali. Kuhusu suala la ulevi bado naendelea japokuwa ni kidogo sana.