murugalama
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 231
- 81
Nimekuwa na tatizo la kutetemeka kwa mikono hasa ninapokuwa ninaandika, ufikia wakati nikashindwa kabisa kuandika na hata kama nikiandika herufi hazieleweki kabisa. Tatizo hili nimeligundua kama miaka mitano iliyopita. Wakuu naombeni msaada kwani tatizo hili ushusha utendaji wangu wa kazi.