Msaada: Dogo amepata chaguo la tatu Kidato cha 5. Je, mwisho kuripoti ni lini?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu,

Mtoto amechaguliwa third selection na TAMISEMI hao, ambayo nadhani imetoka mwezi huu

Je, mwisho wa kuripoti shule aliyopangiwa ni lini? Muda umeisha au bado nimpeleke?

Naomba kujua niandae hela ya private tu.

umofia.
 
wakuu
mtoto amechaguliwa third selection na tamisemi hao, ambayo nadhani imetoka mwezi huu,
je mwisho wa kuripoti shule aliyopangiwa ni lini? muda umeisha au bado nimpeleke?

naomba kujua niandae hela ya private tu.

umofia.
Maelekezo hayapo au??
Mara nyingi thirr selection Huwa ndo final so HTa ukichelewa kidgo si mbaya .. lkn chunga Sana Asije akapewa mwingne nafas Yko... Mara nyingi Huwa ni Wiki mbil baada ya tangazo
 
Nikimpeleka jumatano hii watampokea mkuu?

Maana kumpeleka kesho itakuwa uongo kuna mambo yake nayafuatilia by jumatano awe ameripoti huko mbeya je watakubali au tayari nafasi watakuwa wamegawa?
 
Mpeleke hata hiyo jumatano ila kama unatia wasiwasi nafasi inaweza chukuliwa kama kwenye join instruction wameweka namba wapigie waeleze hali halisi kuwa atachelewa kuripoti nadhani itakusaidia zaido kwani anaweza kukaa hata wiki na zaidi ilimradi umetoa taarifa.
 
Sawa sawa kanisa
Nilipanga by jumatano awe amefika nimpeleke je itakuwa mbali sana?

Nimechukua namba pia zao nikapiga wakasema mwisho kesho nitawaambia kuwa nitafika jumatano kumleta.

Na je ile pdf ya join instruction unaprint then ajaze au wanazo huko huko?
 
wakuu
mtoto amechaguliwa third selection na tamisemi hao, ambayo nadhani imetoka mwezi huu,
je mwisho wa kuripoti shule aliyopangiwa ni lini? muda umeisha au bado nimpeleke?

naomba kujua niandae hela ya private tu.

umofia.
Mkuu kusema kweli Mimi sijui ila wajuvi wanakuja.

Hongera sana na hongera kwa dogo kufanikisha kupata nafasi iyo. Namuombea mafanikio kwenye
 
Sawa sawa kanisa
Nilipanga by jumatano awe amefika nimpeleke je itakuwa mbali sana?

Nimechukua namba pia zao nikapiga wakasema mwisho kesho nitawaambia kuwa nitafika jumatano kumleta.

Na je ile pdf ya join instruction unaprint then ajaze au wanazo huko huko?
Hiyo pdf print ujazie nyumban kuna baadh ya shule uwa zinatoa form za mwanafunz kupimwa hospital na kujazwa na daktari,so usipo fanya hivo ukampeleka itakua usumbuf wanaweza kukurudisha ujaze
 
Nashukuru sana mkuu kwa hili nitalifanyia kazi haraka sana
 
Back
Top Bottom