Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Maelekezo hayapo au??wakuu
mtoto amechaguliwa third selection na tamisemi hao, ambayo nadhani imetoka mwezi huu,
je mwisho wa kuripoti shule aliyopangiwa ni lini? muda umeisha au bado nimpeleke?
naomba kujua niandae hela ya private tu.
umofia.
Kwanini hasa mkuumpeleke VETA , uko F5 unachoma pesa na mda tu
Kwanini veta mkuu sababu ni nini?
Je nikimpeleka jumatano hii watampokea?Mpeleke shule zinafunguliwa tarehe 5/9/2022 hajachelewa sana
Nikimpeleka jumatano hii watampokea mkuu?Maelekezo hayapo au??
Mara nyingi thirr selection Huwa ndo final so HTa ukichelewa kidgo si mbaya .. lkn chunga Sana Asije akapewa mwingne nafas Yko... Mara nyingi Huwa ni Wiki mbil baada ya tangazo
Mpeleke hata hiyo jumatano ila kama unatia wasiwasi nafasi inaweza chukuliwa kama kwenye join instruction wameweka namba wapigie waeleze hali halisi kuwa atachelewa kuripoti nadhani itakusaidia zaido kwani anaweza kukaa hata wiki na zaidi ilimradi umetoa taarifa.Nikimpeleka jumatano hii watampokea mkuu?
Maana kumpeleka kesho itakuwa uongo kuna mambo yake nayafuatilia by jumatano awe ameripoti huko mbeya je watakubali au tayari nafasi watakuwa wamegawa?
Sawa sawa kanisaMpeleke hata hiyo jumatano ila kama unatia wasiwasi nafasi inaweza chukuliwa kama kwenye join instruction wameweka namba wapigie waeleze hali halisi kuwa atachelewa kuripoti nadhani itakusaidia zaido kwani anaweza kukaa hata wiki na zaidi ilimradi umetoa taarifa.
Mkuu kusema kweli Mimi sijui ila wajuvi wanakuja.wakuu
mtoto amechaguliwa third selection na tamisemi hao, ambayo nadhani imetoka mwezi huu,
je mwisho wa kuripoti shule aliyopangiwa ni lini? muda umeisha au bado nimpeleke?
naomba kujua niandae hela ya private tu.
umofia.
Nashukuru sana mkuuMkuu kusema kweli Mimi sijui ila wajuvi wanakuja.
Hongera sana na hongera kwa dogo kufanikisha kupata nafasi iyo. Namuombea mafanikio kwenye
Hiyo pdf print ujazie nyumban kuna baadh ya shule uwa zinatoa form za mwanafunz kupimwa hospital na kujazwa na daktari,so usipo fanya hivo ukampeleka itakua usumbuf wanaweza kukurudisha ujazeSawa sawa kanisa
Nilipanga by jumatano awe amefika nimpeleke je itakuwa mbali sana?
Nimechukua namba pia zao nikapiga wakasema mwisho kesho nitawaambia kuwa nitafika jumatano kumleta.
Na je ile pdf ya join instruction unaprint then ajaze au wanazo huko huko?
Nashukuru sana mkuu kwa hili nitalifanyia kazi haraka sanaHiyo pdf print ujazie nyumban kuna baadh ya shule uwa zinatoa form za mwanafunz kupimwa hospital na kujazwa na daktari,so usipo fanya hivo ukampeleka itakua usumbuf wanaweza kukurudisha ujaze
Form four anasoma diploma gani mkuu... Au ya kufuga nyuki?
Watampokea tu ila wiki ya kufungua shule isiishe wapigie simu namba zao zipo kwenye joining instructionJe nikimpeleka jumatano hii watampokea?
Maana kumpeleka kesho kwa kweli haiwezekani kuna mambo nayafuatilia
Nashukuru sana mkuu nitawapigia tenaWatampokea tu ila wiki ya kufungua shule isiishe wapigie simu namba zao zipo kwenye joining instruction