payuka JF-Expert Member Joined Jun 17, 2010 Posts 829 Reaction score 127 Aug 6, 2010 #1 Wana JF, naombeni Msaada wa mtu mwenye kujua taratibu pamoja na Gharama Zinazohitajika Ku-register Domain Name inayoishia na dot com, au ya .co.tz .....Nitashukuru zaidi kama nitajulishwa na taratibu nzuri za kufuata Kutengenezewa Website Asanteni
Wana JF, naombeni Msaada wa mtu mwenye kujua taratibu pamoja na Gharama Zinazohitajika Ku-register Domain Name inayoishia na dot com, au ya .co.tz .....Nitashukuru zaidi kama nitajulishwa na taratibu nzuri za kufuata Kutengenezewa Website Asanteni
Yona F. Maro R I P Joined Nov 2, 2006 Posts 4,201 Reaction score 236 Aug 6, 2010 #2 Tembelea tzNIC Home Page au UCC- Home - na Tanzania Web Hosting, Creative Design, Graphics Design, Web Development, Web Programming and Marketing Services | Extreme Web Technologies, Dar es Salaam, Tanzania wote hao wanatoa huduma hizo hiyo dottz ni chini ya dola 30 kwa mwaka lakini unahitaji sehemu ya kuhost hiyo email yako na webyako hapo ndio utachagua kiasi kutokana na unachotaka na pia ukubwa wa tovuti yenyewe
Tembelea tzNIC Home Page au UCC- Home - na Tanzania Web Hosting, Creative Design, Graphics Design, Web Development, Web Programming and Marketing Services | Extreme Web Technologies, Dar es Salaam, Tanzania wote hao wanatoa huduma hizo hiyo dottz ni chini ya dola 30 kwa mwaka lakini unahitaji sehemu ya kuhost hiyo email yako na webyako hapo ndio utachagua kiasi kutokana na unachotaka na pia ukubwa wa tovuti yenyewe
payuka JF-Expert Member Joined Jun 17, 2010 Posts 829 Reaction score 127 Aug 6, 2010 Thread starter #3 Shy said: Tembelea tzNIC Home Page au UCC- Home - na Tanzania Web Hosting, Creative Design, Graphics Design, Web Development, Web Programming and Marketing Services | Extreme Web Technologies, Dar es Salaam, Tanzania wote hao wanatoa huduma hizo hiyo dottz ni chini ya dola 30 kwa mwaka lakini unahitaji sehemu ya kuhost hiyo email yako na webyako hapo ndio utachagua kiasi kutokana na unachotaka na pia ukubwa wa tovuti yenyewe Click to expand... shukrani shy!
Shy said: Tembelea tzNIC Home Page au UCC- Home - na Tanzania Web Hosting, Creative Design, Graphics Design, Web Development, Web Programming and Marketing Services | Extreme Web Technologies, Dar es Salaam, Tanzania wote hao wanatoa huduma hizo hiyo dottz ni chini ya dola 30 kwa mwaka lakini unahitaji sehemu ya kuhost hiyo email yako na webyako hapo ndio utachagua kiasi kutokana na unachotaka na pia ukubwa wa tovuti yenyewe Click to expand... shukrani shy!