Msaada:Domain Name

Msaada:Domain Name

payuka

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
829
Reaction score
127
Wana JF, naombeni Msaada wa mtu mwenye kujua taratibu pamoja na Gharama Zinazohitajika Ku-register Domain Name inayoishia na dot com, au ya .co.tz .....Nitashukuru zaidi kama nitajulishwa na taratibu nzuri za kufuata Kutengenezewa Website

Asanteni
 
Back
Top Bottom