Msaada: Dozi ya Mseto imenikataa, nifanye nini kupunguza maudhi na kuzuia athari zaidi?

Msaada: Dozi ya Mseto imenikataa, nifanye nini kupunguza maudhi na kuzuia athari zaidi?

"Ndugu mgonjwa kula chuma hicho"

Mseto hua nazimeza bila Panadol wala dawa nyingine ya maumivu

Japo nilipomeza kwa mara ya kwanza nilipata dalili kama zako kwa ile siku ya kwanza niliendelea na dozi maana kwanza nilikua apacha alolo so sikua na plan B

Baada ya hapo sikuwahi pata tena hiyo side effects
 
Nasumbuliwa na kutapika ingawa malaria imeshaisha kabisa, natumia phenegan pole lkn wapi, sijui nifanyeje
 
Back
Top Bottom