Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Si ashamaliza kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaliakoo ndio wapi??Aende kaliakoo
Ndio inalipa sanaaa ila ubunifu kulingana na wakati msimu wa sikukuu ndio muda wa mavuno,ufunguz wa Shule as katika huo umri 5yrs ndio watakuwa wanaanza shule.Na kuandaa package ya watoto wachanga kwa mfano mtu akitaka kupeleka zawad ananunua as kila kitu kumhusu mtoto mchanga kitakuwepo depend na jinsia ya mtoto.To me its good idea.Wadau mke wangu ameachishwa kazi juzijuzi. kwa vile kazi yenyewe haikuwa na mshahara mzuri ameniomba nimpatie mtaji afungue duka la nguo za watoto. Naombeni ushauri.. Je linalipa ?
Natanguliza shukrani zangu.
Hali ni mbaya sanawatu wanafunga biashara nyie mnafungua.......😀😀😀
Nimejifunza kitu hapa.Ndio inalipa sanaaa ila ubunifu kulingana na wakati msimu wa sikukuu ndio muda wa mavuno,ufunguz wa Shule as katika huo umri 5yrs ndio watakuwa wanaanza shule.Na kuandaa package ya watoto wachanga kwa mfano mtu akitaka kupeleka zawad ananunua as kila kitu kumhusu mtoto mchanga kitakuwepo depend na jinsia ya mtoto.To me its good idea.
habari wana JF
naomba msaada wa mawazo na uzoefu kwa wale wanaofanya biashara ya kuuza nguo za watoto wadogo kuanzia umri 0- 10 hv je kwa biashara ya jumlajumla mzigo mmoja wa nguo za watoto bei gani? na vp kuhusu vifaa vya watoto km car seat, vitanda, na vyoo vya watoto navyo vinauzwaje kwa bei ya jumla??