Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Kwann sio 8000Chukua 25000
Kipi kinaifanya hii iwe original na nyingine iwe feki? Bei?Earth Rod original ni 75,000/- mpaka 100,000/-
Tatizo la earth rod linakuwaje?Habari wakuu ...
Hapa tumepopanga nyumba inatatizo la earth rod ,unatakiwa kubadilisha ,Sasa nimezunguka dukani kuuliza naambiwa Kuna za 8000, Hadi 25000 ,,,,Kwa mafundi wa umeme ni earth rod ipi nzuri kati ya hizi au yeyote tu naweza kutumia ilimradi iwe copper original ...hiyo nyembamba ndio 8000 ,hio Nene ndio 25000
View attachment 2503541
Utajuaje hii OG na za mchinaEarth Rod original ni 75,000/- mpaka 100,000/-
Hapana huwa sio tu bei hata content. Original bei iko juu kweli lakn pia inakuwa copper tu. Ila mtihami ni kujua km hii ni copper pure au ni chuma kimepakwa copper. Ndo maana tunataka mafundi watoe uzoefuKipi kinaifanya hii iwe original na nyingine iwe feki? Bei?
Naona nyumba nyingi ina hiyo neneearth rod inabidi iwe nene, ndefu na Pure Copper kwa matokeo mazuri
na bei inaanzia 50k, chini ya hapo hutauziwa Pure Copper, bali utauziwa Brass
Hujui matumizi yake? Au nini?Tatizo la earth rod linakuwaje?
Mmh!!Kwann sio 8000
Mwenyewe niliuziwa 55,000/- nilijua nimepigwaearth rod inabidi iwe nene, ndefu na Pure Copper kwa matokeo mazuri
na bei inaanzia 50k, chini ya hapo hutauziwa Pure Copper, bali utauziwa Brass
Utajuaje earth rod yako ina tatizo?Hujui matumizi yake? Au nini?
kama siyo chuma, hajakupiga
kukitokea leakage, RCD haikati, na bill ya umeme inaongezekaKipi kinatokea hadi uhisi shida ni E.R?