Msaada Earth Rod ipi nzuri wakuu

Msaada Earth Rod ipi nzuri wakuu

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu ...

Hapa tumepopanga nyumba inatatizo la earth rod, unatakiwa kubadilisha, Sasa nimezunguka dukani kuuliza naambiwa Kuna za 8000, Hadi 25000, kwa mafundi wa umeme ni earth rod ipi nzuri kati ya hizi au yeyote tu naweza kutumia ilimradi iwe copper original hiyo nyembamba ndio 8000, hiyo nene ndio 25000.

Screenshot_20230130-082222.jpg
 
Habari wakuu ...

Hapa tumepopanga nyumba inatatizo la earth rod ,unatakiwa kubadilisha ,Sasa nimezunguka dukani kuuliza naambiwa Kuna za 8000, Hadi 25000 ,,,,Kwa mafundi wa umeme ni earth rod ipi nzuri kati ya hizi au yeyote tu naweza kutumia ilimradi iwe copper original ...hiyo nyembamba ndio 8000 ,hio Nene ndio 25000

View attachment 2503541
Tatizo la earth rod linakuwaje?
 
Kipi kinaifanya hii iwe original na nyingine iwe feki? Bei?
Hapana huwa sio tu bei hata content. Original bei iko juu kweli lakn pia inakuwa copper tu. Ila mtihami ni kujua km hii ni copper pure au ni chuma kimepakwa copper. Ndo maana tunataka mafundi watoe uzoefu
 
Kuna watu huwa mna upumbavu na ungumbaru uliopitiliza. Yani kuchagua kati ya kulipia 8k na 25k mpaka uje uombe ushauri humu?

Yani 25k imekuwa nyingi kiasi hiko? Acheni ujinga na upumbavu wa kujaza nyuzi zisizo na kichwa wala miguu. Lipa 25k utuondolee ujinga wako
 
Back
Top Bottom