Msaada Earth Rod ipi nzuri wakuu

Ukihitaji nitakuelekeza na namba pia nitakupa no hilo ni chimbo la vifaa vya umeme kwa jumla na ni original
 
Hata akilipa hiyo 25,000 atajuajr kama hiyo earth road ni piwa copper??
 
Mimi nilichukua sehem 16mm copper round bar ya 4ft. Kisha nikaipiga na nyundo upende mmoja wa ncha kisha nika drill 10mm hole basi nikaja kuitumia kwenye kule kiduku.
 
Ukiona inabend ujue hiyo ni Copper og( Inanesa) Ukiona ukiikunja inakuwa ngumu haibend ujue nondo hiyo
 
Hata mimi nimejifunza kipimo ni sumaku

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe kuja juzi tu humu umeanza kutukana watu?
 
Kipi kinaifanya hii iwe original na nyingine iwe feki? Bei?
Kuna 100% na ambayo ni copper imechanganywa na chuma ambayo huwa zinakuja shika kutu.

But copper original kwa 100% huwa haishiki kutu hata kidogo.

Copper kama copper ni nzito so hata hiyo nondo yake inatakiwa kuwa nzito sana tofauti na ile feki. Feki huwa ni nyepesi sana sababu ya material yake.
 
Kupitia huu uzi kuna wachangiaji watatoa elimu ambayo itamsaidia yeye na wengine kujifunza.
 
Kiufupi zote ni fake maana zinanasa na sumaku ...kupata eath rod og wa bei hizo hapo juuu ni uongoo
Wewe chukua tu itatumika miaka kadhaa ikiisha uwezo unatupa unafunga mpya.
 
Jiulize kwanza copper ni bei gani kilo yake halafu ujiulize why uziwe fimbo yake bei rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…