BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Hizo zote ni chuma cha kawaida zimekuwa electroplated na copper Copper org 50k and above
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado earth rod hiyo kwa 25 elfu hawezi kupata pure copper ambayo ndio standard.Kuna watu huwa mna upumbavu na ungumbaru uliopitiliza. Yani kuchagua kati ya kulipia 8k na 25k mpaka uje uombe ushauri humu? Yani 25k imekuwa nyingi kiasi hiko? Acheni ujinga na upumbavu wa kujaza nyuzi zisizo na kichwa wala miguu. Lipa 25k utuondolee ujinga wako
Tumia sumaku ukiona inashikamo hata kwa mbali achana nayo hiyo fakeUtajuaje hii OG na za mchina
We ndo fala kweloKuna watu huwa mna upumbavu na ungumbaru uliopitiliza. Yani kuchagua kati ya kulipia 8k na 25k mpaka uje uombe ushauri humu? Yani 25k imekuwa nyingi kiasi hiko? Acheni ujinga na upumbavu wa kujaza nyuzi zisizo na kichwa wala miguu. Lipa 25k utuondolee ujinga wako
Sasa kama 25k tu anakuja kuomba ushauri unadhani ataweza zaidi ya hapo? Maana anaonekana anataka kulipa 8000 alivyo mpumbavuBado earth rod hiyo kwa 25 elfu hawezi kupata pure copper ambayo ndio standard.
Hujui density ya copper kwani. Pima ujazonene wake uone Kama ndio wenyewe. So hata ukipewa gold huwezi ukajua huna testsUtajuaje hii OG na za mchina
Kipi kinaifanya hii iwe original na nyingine iwe feki? Bei?
Njia rahisi ni ww kwenda Tronic utapata OG.Utajuaje hii OG na za mchina
Tupe hilo chimbo mtaalamuSasa ipo hivi pure coper unaipata kwa 40000 yapo hayo machimbo k/koo unauziwa kwa bei ya jumla hao wanaouza 50000 na kuendelea ni wamenunua nao wanauza kwa faida na ili uijue hii ni pure basi chuma chake kinakuwa ile gold imekoza sana na kubwa kabisa chuma chake kina asili ya kupinda unaweza kukipindisha na mkono na ukakirudisha.
Utajuaje hii OG na za mchina
Harafu kuna mtu ana-like comment kama hii. Kuuliza sio ujinga, kama unaona muelewa sana na huna shida ya kutoa msaada pita kando kimyaa, sio kudondosha uharo hapa..Kuna watu huwa mna upumbavu na ungumbaru uliopitiliza. Yani kuchagua kati ya kulipia 8k na 25k mpaka uje uombe ushauri humu?
Yani 25k imekuwa nyingi kiasi hiko? Acheni ujinga na upumbavu wa kujaza nyuzi zisizo na kichwa wala miguu. Lipa 25k utuondolee ujinga wako
Kuna wadau wanasema zipo ambazó ni pure copperHizo zote ni chuma cha kawaida zimekuwa electroplated na copper Copper org 50k and above
Tatizo kuzunguka k'koo yote kulisaka hilo duka/madukaSasa ipo hivi pure coper unaipata kwa 40000 yapo hayo machimbo k/koo unauziwa kwa bei ya jumla hao wanaouza 50000 na kuendelea ni wamenunua nao wanauza kwa faida na ili uijue hii ni pure basi chuma chake kinakuwa ile gold imekoza sana na kubwa kabisa chuma chake kina asili ya kupinda unaweza kukipindisha na mkono na ukakirudisha.
Harafu ndo kiswahili cha hapo kwenu wewe na mama ako? Jifunze kwanza kuandika vizuri ngumbaru weweHarafu kuna mtu ana-like comment kama hii. Kuuliza sio ujinga, kama unaona muelewa sana na huna shida ya kutoa msaada pita kando kimyaa, sio kudondosha uharo hapa..
Mimi binafsi nimefaidika na uzi huu kujua namna ya kujua ipi fake na ipi OG kwa kutumia sumaku, nipo katika ujenzi, hii imenisaidia.. Wengi tumenufaika, waliokhereka watakua wauza bidhaa fake.
Eath rod original ni ile ya 45k nipe kaz hyo nije nayoHabari wakuu ...
Hapa tumepopanga nyumba inatatizo la earth rod, unatakiwa kubadilisha, Sasa nimezunguka dukani kuuliza naambiwa Kuna za 8000, Hadi 25000, kwa mafundi wa umeme ni earth rod ipi nzuri kati ya hizi au yeyote tu naweza kutumia ilimradi iwe copper original hiyo nyembamba ndio 8000, hiyo nene ndio 25000.
View attachment 2503541
Zote zinatoka chinaUtajuaje hii OG na za mchina