Msaada eti gari hii inaweza kurudi kwenye hali yake ya kawaida?

Ushauri huu umekwenda shule
 
Gari ilipata ajari, engine inawaka kama kawaida, hub ya nyuma kushoto imeng'oka na bodi ndiyo kama hivyo. Zipo gereji wanaweza kulirudisha gari kwenye muonekano wake wa awali? MSAADA tafadhari, ikiwezekana na gharama sake.

kama engene na gear box viko vizuri nakupa 1m cash kma uko interested ncheki dm
 
Kuna kijana mmoja yupo huku Dar anaitwa Mbavu. Hiyo inatoka kama mpya ila utasubiri foleni hata wiki 2 au hata mwezi kama hutamsumbusumbua maana ana kazi nyingi.
 
Gari ilipata ajari, engine inawaka kama kawaida, hub ya nyuma kushoto imeng'oka na bodi ndiyo kama hivyo. Zipo gereji wanaweza kulirudisha gari kwenye muonekano wake wa awali? MSAADA tafadhari, ikiwezekana na gharama sake.
Gari ilikua na bima ndogo ?
 
POLE SANA NDUGU. NAAMINI WOTE MLITIOKA SALAMA. SIJUI UMEFIKIA WAPI NA PROGRESS YAKO..!!
 
Gari ilipata ajari, engine inawaka kama kawaida, hub ya nyuma kushoto imeng'oka na bodi ndiyo kama hivyo. Zipo gereji wanaweza kulirudisha gari kwenye muonekano wake wa awali? MSAADA tafadhari, ikiwezekana na gharama sake.

nichek inbox uniuzie me nikaichinje..hiyo gari kama unapenda brevis tena kachukue tu mpya..adi mil 5 unapata kwa sasa
 
IPO hivi gari haikugongwa iliacha njia ikaenda porini ikakajipigapiga kwenye miti.
nichek inbox uniuzie me nikaichinje..hiyo gari kama unapenda brevis tena kachukue tu mpya..adi mil 5 unapata kwa sasa
Bado naipenda nitaitengeneza
 
IPO hivi gari haikugongwa iliacha njia ikaenda porini ikakajipigapiga kwenye miti.

Bado naipenda nitaitengeneza
Ok..I got the point....pole sana kwa mkasa huo....lakushukuru hujaumia
 
Fuata ushauri wa huyu mkuu. Gharama ya kurekebisha itakuwa kubwa kuliko kununua gari kama hilo kwa mtu hapa Bongo. Na ukirekebisha, ni ngumu kurudia katika hali yake ya mwanzo. Utalichukia tu.
 
Ushauri mzuri. Japo jamaa naona analipenda gari lake. Ila atajutia.
 
Ushauri mzuri. Japo jamaa naona analipenda gari lake. Ila atajutia.
Ni kweli naona watu wengi wamempa ushauri mzuri ila bado analipenda sana gari lake...kipendacho roho...
Jana kuna mark x namba c nimeona inauzwa M 6.8....ina maana yule akipewa M 5.5 anakamata mpunga...

Hizi gari za injini kuwa zipo nzuri za bei chee
 
Unaona sasa. Na akisharekebisha isiwe kama anavyotaka, akaamua kuiuza, jamaa watasema wampe 3m. Mwisho wa siku ataamua akae nalo wakati halimpi satisfaction anayoitegemea kwenye gari. Ila kama ulivyosema, kipenda roho...
 
auze gari kwasababu limepata ajali kisha akanunue kwa mtu amabaye naye analiuza kwasababu lilipata ajali alili repair ndio kaliweka sokon
 
auze gari kwasababu limepata ajali kisha akanunue kwa mtu amabaye naye analiuza kwasababu lilipata ajali alili repair ndio kaliweka sokon
Gari lililopata ajali linajulikana hata linyooshwe vipi....kwa mfano kama liligongwa mbel...ukifungua tu bonnet kwa mtu mjanja utaona zile skeletons za ndani zilivyonyooshwa nyooshwa na kupakwa rangi......ndo maana inatakiwa unapinunua gari kwa mtu utulize akili....au ununue ukiwa umeridhika kuwa lilipata ajali na madhara si makubwa
 
Tengeneza ndipo uuze ukiuza kama ilivyo hata M1 hupati
Mmh..unamkatisha tamaa...

Akiamua kuuza kwa kuichinja..engine pekee hakosi 1 million...gear box hatakosa laki 6 mapaka 8....hapo bado vitu vidogo vidogo ambavyo vitauzwa elfu 20, 40, 50 na kadhalika..
 
ushauri mzuri sana aliokupa Boeing 747 nakuomba uuzingatie. mbeleni utamkumbuka !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…