Msaada . Eti Punyeto Inaweza Kusababisha Maumivu Makali ya Mgongo wa Chini?

Punyeto pia ndo chanzo cha tezi dume
Mkuu, hii ina ukweli wo wote kisayansi? Kama ni hivi basi wanachama wengi wa CHAWAPUTA wajiandae huko mbele ya safari. Mzee wa viwango si ameondoshwa na tezi dume ama? JK anakwenda John Hopkins kufanyiwa upasuaji wa tezi dume watu wanamcheka kumbe ndiyo njia sahihi. Actually wanashauri kila mwanaume aliye above 40 yrs ni lazima aanze kuwa na umakini hasa akianza kuona dalili za wazi.
 
Aisee!
 
Sikweli uoni hafifu.kuchoka.maumivu ya misuli. Naongea kama mzee wa chaputa mtaafu hadi nilipo fumwa namtu kutahamaki naona mtu kasimama mbele yangu sina habari ilikua aibu halafu alikua ni mwanamke.hata sikujua amenitizama muda mrefu kiasi gani, dogo mpelekeni kwa wataalamu
 
Wamemroga wabongo nyoso sana how come ugonjwa usionekane bhana
 
Mkuu semens zinazalishwa kwenye bone marrow? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii naskia kwako kwa kweli ! Kwa mimi nijuavyo huwa zinazalishwa kwenye prostate gland na seminal vessicles .ila bone marrows huwa zinazalisha fluid ambayo ina similar properties na semens na madaktari bingwa hukoo marekani ndiyo wanafuatilia kama kuna uwezekano wa kufanya IVR(invitro fertilization) kwa kitumia bone marrow fluid kama medium ya kuwekea sperms .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
First born wa kaka yako yupo kidato cha nne kwa nini unatudanganya na kusema upo na 76years ? For what purposes
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…