MSAADA : Extension Kwenye Namba za Simu Huwa Zinakuaje Wakuu...?

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
2,162
Reaction score
2,616
Heshima kwenu wakuu.

Nipo najaza application form ya U.S Embassy kuna sehemu wakahitaji namba za simu halafu chini kuna sehemu ya kuweka Extension, nikasema nije kuwauliza wadau hii ina maana gani kwenye namba za simu wakuu...?

Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu. Thanks.
 
Katika simu ya makazi, simu ya ugani ni simu ya ziada iliyounganishwa kwa laini ya simu sawa na nyingine. Na katikati karne ya 20, simu ya kwanza kwenye laini ilikuwa "Kituo Kikuu" na zilizofuata "Viendelezi
 
Dah, umezama sana deep kiongozi nifafanulie kidogo mkuu...! Shukran.
 
Ok....
Kwakifupi ni kwamba, hapo jaza namba nyingine ya simu unayo tumia. Ili watakapo kukisa kwenye namba ya kwanza, watapiga kwenye namba ya pili.

Ooooh owkay nilijaza Day time phone na Mobile phone nikajaza namba nyingine kwenye extension nimepaacha tu natumai itakuwa sawa tu mkuu right...?
 
Back
Top Bottom