Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Unamaanisha +255 au?
Ndio. Ngoja waje.Sidhani kama ni hizo mkuu...? Hiyo si ni country code...?
Ndio. Ngoja waje.
Katika simu ya makazi, simu ya ugani ni simu ya ziada iliyounganishwa kwa laini ya simu sawa na nyingine. Na katikati karne ya 20, simu ya kwanza kwenye laini ilikuwa "Kituo Kikuu" na zilizofuata "ViendeleziHeshima kwenu wakuu.
Nipo najaza application form ya U.S Embassy kuna sehemu wakahitaji namba za simu halafu chini kuna sehemu ya kuweka Extension, nikasema nije kuwauliza wadau hii ina maana gani kwenye namba za simu wakuu...?
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu. Thanks.
Katika simu ya makazi, simu ya ugani ni simu ya ziada iliyounganishwa kwa laini ya simu sawa na nyingine. Na katikati karne ya 20, simu ya kwanza kwenye laini ilikuwa "Kituo Kikuu" na zilizofuata "Viendelezi
Ok....Dah, umezama sana deep kiongozi nifafanulie kidogo mkuu...! Shukran.
Ok....
Kwakifupi ni kwamba, hapo jaza namba nyingine ya simu unayo tumia. Ili watakapo kukisa kwenye namba ya kwanza, watapiga kwenye namba ya pili.