Msaada: faculty ipi nzuri na naweza kuchaguliwa kwa haya matokeo

Chrizo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
714
Reaction score
792
Nina phy-E, adv-D na chem-C but F ya GS... Ndoto zangu ni kusoma engineering, je kati ya civil,mining na petroleum, ipi nzuri wadau
 
Hapo sina haja ya kuuliza sana...petrolium engineering ya udsm itakufaa..sasa kwenye hiyo g.s mhh..
 
Kama hawatawabana kwa sheria ya F ya GS, nakushaur usome hyo ya BS in Petroleum Engnrng. Lakn kama TCU watawabana kwa sheria ya Kufaulu GS bs umeliwa na utabak kwenda diploma.
 
Kama hawatawabana kwa sheria ya F ya GS, nakushaur usome hyo ya BS in Petroleum Engnrng. Lakn kama TCU watawabana kwa sheria ya Kufaulu GS bs umeliwa na utabak kwenda diploma.

Mkuu bluetooth..g.s hawachek sana hasa kama fotm 4 ulipiha fresh...na lazina ujue ni wangap wamegel g.s mwaka huu!! Kijana ana nafas nzuri tena sana...kwa matokeo hayo akienda diploma ni sawa na kumkufuru mungu!!!
 
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu! Ila hio gs ndo inanisumbua akili
 
umefanya vizuri sana dogo hasa kwa mwakaa huu....utapata ukipendacho
 
kwa nijuavyo mimi course za engineering hawajali sana somo la GS. so kijsns usikste tsmaa wewe apply course mbayo umetimiza vigezo vyake wapo wengi hata wanao somea degree za masomo ya ulimu na sayansi ya jamii walipata GS F na sasa wako vyuoni
 
Hapo sina haja ya kuuliza sana...petrolium engineering ya udsm itakufaa..sasa kwenye hiyo g.s mhh..

kwa udsm, petroleum engneering kuna nafasi 25, sa cjui kama kweli nitapata chance
 
Kuna vilaza hapa...niliongolea swala la kufel fs wanajidai wanajua kla kt..bt miaka huw haifanan..
 
Usipoteze muda na kufaulu huku kwa UDSM. Me nashauri apply UDOM na SUA.

Nina phy-E, adv-D na chem-C but nina F ya Gs... Ndoto zangu ni kusoma engineering, je kati ya civil,mining na petroleum, ipi nzuri wadau
 
It seems mwaka huu kila mtu kapata f ya gs. Mliidharau sana? Manake gs hata leo nikikurupuka usingizini siwezi kukosa s japo nna miongo kadhaa toka niachane nayo!
 
It seems mwaka huu kila mtu kapata f ya gs. Mliidharau sana? Manake gs hata leo nikikurupuka usingizini siwezi kukosa s japo nna miongo kadhaa toka niachane nayo!

sio tuliidharau, mi sijajua nn kimetokea coz mtihani nilifanya vizuri 2
 
It seems mwaka huu kila mtu kapata f ya gs. Mliidharau sana? Manake gs hata leo nikikurupuka usingizini siwezi kukosa s japo nna miongo kadhaa toka niachane nayo!

Mwenzio nilipata B+ ya GS, chezea mimi weye...Back to topic...
Unacho apply sio faculty kama ulivyoandika kwenye heading, una apply kusoma course au degree programme, kila la kheri...
 
sio tuliidharau, mi sijajua nn kimetokea coz mtihani nilifanya vizuri 2

coz, nn, vizuri 2..... uandishi mbaya na baadhi yenu mmeandika hivyo hadi kwenye mitihani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…