Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hawatawabana kwa sheria ya F ya GS, nakushaur usome hyo ya BS in Petroleum Engnrng. Lakn kama TCU watawabana kwa sheria ya Kufaulu GS bs umeliwa na utabak kwenda diploma.
Nina phy-E, adv-D na chem-C but nina F ya Gs... Ndoto zangu ni kusoma engineering, je kati ya civil,mining na petroleum, ipi nzuri wadau
It seems mwaka huu kila mtu kapata f ya gs. Mliidharau sana? Manake gs hata leo nikikurupuka usingizini siwezi kukosa s japo nna miongo kadhaa toka niachane nayo!
sio tuliidharau, mi sijajua nn kimetokea coz mtihani nilifanya vizuri 2