Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FAIDA ZAKE
1.Unawezq nunua umeme wa 20,000 ukapata faida 60,000 inategemea na bei na ubora wa kinu cha kusagia.
2.Pumba zq mqhindi ni dili sana Gunia ni 20k-30k.
3.Ukipata location nzuri unarudisha mtaji wako ndani ya miezi 8-12.
HASARA ZAKE
1.Ukiunguza mota hela itakayokutoka sio chini ya laki 5 kuisuka upya.
2.Ukiunguza mita unaweza kaa hata miezi bila kubadilishiwa so hapo unakua umekaa bila kazi.
3.Masika huwa ku a tabia ya umeme kukosa nguvu hivyo operator anaweza kuunguza mota aspokuwa makini.
4.Kuwa makini na utoaji huduma (Mfano kutoa unga wenye chenga)ukijichanganya kidogo tu wateja wanahama kurudi ni baada ya miezi.
5.Wafanyakazi kuiba mf.Anajinunulia umeme hata wa 5k ukiisha huo hela yote yake.
So far ni Biashara yangu pendwa ina faida sana Nakushauri uifanye I hope utanogewa.
Kqribu kwa maswali zaidi
Mmemwelewa kweli..anataka mashne ya aina gani umeme au engine za disel! Biashara hi inachangamoto yake inategemea uko wapi UKO KIJIJINI AU MJINI.
FAIDA ZAKE
1.Unawezq nunua umeme wa 20,000 ukapata faida 60,000 inategemea na bei na ubora wa kinu cha kusagia.
2.Pumba zq mqhindi ni dili sana Gunia ni 20k-30k.
3.Ukipata location nzuri unarudisha mtaji wako ndani ya miezi 8-12.
HASARA ZAKE
1.Ukiunguza mota hela itakayokutoka sio chini ya laki 5 kuisuka upya.
2.Ukiunguza mita unaweza kaa hata miezi bila kubadilishiwa so hapo unakua umekaa bila kazi.
3.Masika huwa ku a tabia ya umeme kukosa nguvu hivyo operator anaweza kuunguza mota aspokuwa makini.
4.Kuwa makini na utoaji huduma (Mfano kutoa unga wenye chenga)ukijichanganya kidogo tu wateja wanahama kurudi ni baada ya miezi.
5.Wafanyakazi kuiba mf.Anajinunulia umeme hata wa 5k ukiisha huo hela yote yake.
So far ni Biashara yangu pendwa ina faida sana Nakushauri uifanye I hope utanogewa.
Kqribu kwa maswali zaidi
Mtaji ukoje kwa anayeanza hasa Bei ya mashine ya kukoboa na ya kusagaFAIDA ZAKE

Hapa tusaidiwe mchanganuo wa gharama hadi kufikia kuanza kuzalisha.vipi tathmini ya mtaji
Minimum ni Million 7. Kama utanunua vitu used inaweza kuwa chini ya hapo, mfano mi wakat naanza vitu vingi vilikuwa used hadi bati za jengo. Nkatumia kama 4Millions tuvipi tathmini ya mtaji
Kutoa unga mzuri sio machine ni Size ya Chekeche. Chekeche yenye unga laini ni zile zenye tundu za 0.8Bado atataka kujua Anapataje mashine inayotoa ungamzuri au original
Nashukuru sana kwa ushauri huu dahh!! Hii project nimepambana nayo Sana. Nipo hatua za mwisho kabisa, Mashine ianze kufanya kaziFAIDA ZAKE
1.Unawezq nunua umeme wa 20,000 ukapata faida 60,000 inategemea na bei na ubora wa kinu cha kusagia.
2.Pumba zq mqhindi ni dili sana Gunia ni 20k-30k.
3.Ukipata location nzuri unarudisha mtaji wako ndani ya miezi 8-12.
HASARA ZAKE
1.Ukiunguza mota hela itakayokutoka sio chini ya laki 5 kuisuka upya.
2.Ukiunguza mita unaweza kaa hata miezi bila kubadilishiwa so hapo unakua umekaa bila kazi.
3.Masika huwa ku a tabia ya umeme kukosa nguvu hivyo operator anaweza kuunguza mota aspokuwa makini.
4.Kuwa makini na utoaji huduma (Mfano kutoa unga wenye chenga)ukijichanganya kidogo tu wateja wanahama kurudi ni baada ya miezi.
5.Wafanyakazi kuiba mf.Anajinunulia umeme hata wa 5k ukiisha huo hela yote yake.
So far ni Biashara yangu pendwa ina faida sana Nakushauri uifanye I hope utanogewa.
Kqribu kwa maswali zaidi
Ndiomashine ulinunua used nayo
Kama location nzuri soon utawatembelea Showroom 😅😅Nashukuru sana kwa ushauri huu dahh!! Hii project nimepambana nayo Sana. Nipo hatua za mwisho kabisa, Mashine ianze kufanya kazi
Chagua mahindi mazuri sio Yale ambayo yamebunguliwa
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app