Msaada: Faida na hasara za biashara ya mashine ya kusaga/kukoboa mahindi

Naomba namba yako 062663600
 
Nmejaribu kufikiri jinsi mota inayosukwa kwa gharama ya laki 5 inakuwa na ukubwa na kilowatt ngapi? Na gharama za waya ufundi na material zipoje zipoje mpaka ikasukwa kwa gharama hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…