Msaada Faini za Barabarani

Scropion_Master

Senior Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
109
Reaction score
113
Habari zenu wakuu, naomba kuuliza kuna issue ina nitatiza. Nimepigwa faini barabarani na nimetoka kulipia bank, Je baada ya kulipia bank ndo basi au kuna hatua nyingine yakufuata ili wakufute kwenye system wao. Isije deni likaongezeka after siku 7. Asanteni
 
Pole mkuu.

Subiri waje watakusaidia
 
Hapo deni limeisha. Mana ukilipa jina lako linasoma kwenye system
 
Ukilipa ndo umemalizana nao ....
 
Mkuu jihakikishie kwa kuangalia piga *152*75# hafu cheki taarifa ya gari
 
du imebidi na mimi nicheki system imesema sidaiwi
Uwoga ndio akili kaka. Hongera. Usirudie kosa tumekusamehe kwa niaba ya Police Tanzania . [emoji14] [emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…