Scropion_Master
Senior Member
- Jan 8, 2017
- 109
- 113
Habari zenu wakuu, naomba kuuliza kuna issue ina nitatiza. Nimepigwa faini barabarani na nimetoka kulipia bank, Je baada ya kulipia bank ndo basi au kuna hatua nyingine yakufuata ili wakufute kwenye system wao. Isije deni likaongezeka after siku 7. Asanteni