azzurre
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 107
- 96
Habari zenu wana JF.
Naomba mnisaidie research topic ambayo inahusiana na masomo ya finance kama corporate finance,international finance, financial account, financial planing , investment Valuation, au Management account.
NB.
Please ntapendelea zaidi ikiwa itakuwa inahusiana na Airport services au Aviation industry. Please also topic husika iwe inahitaji be researched due to problem or knowlede gap especially kwa mazingira ya Tanzania. Also iwe ni rahisi kidogo data collection. Naomba msaada wenu sio mnajua tunahitaji kufanya research za ukweli. Elimu MBA-finance and investment specialization