C chimoli Member Joined Jan 16, 2018 Posts 37 Reaction score 17 Dec 29, 2018 #1 Habari za wakati huu wakuu. Nimengoa jino tarehe 20 december 2018 lakini mpaka dakika hii fizi inaniuma sana. Dawa nilizopewa pamoja na za maumivu zimeisha na nimeongeza zingine lakini fizi bado tatizo. Naomba kuwasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za wakati huu wakuu. Nimengoa jino tarehe 20 december 2018 lakini mpaka dakika hii fizi inaniuma sana. Dawa nilizopewa pamoja na za maumivu zimeisha na nimeongeza zingine lakini fizi bado tatizo. Naomba kuwasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Dec 29, 2018 #2 Rudi hospital kama uling'oa huko Inawezekana kuna mabaki ya jino Sent from my SM using Tapatalk
C chimoli Member Joined Jan 16, 2018 Posts 37 Reaction score 17 Dec 29, 2018 Thread starter #3 black sniper said: Rudi hospital kama uling'oa huko Inawezekana kuna mabaki ya jino Sent from my SM using Tapatalk Click to expand... Sawa taenda kesho Sent using Jamii Forums mobile app
black sniper said: Rudi hospital kama uling'oa huko Inawezekana kuna mabaki ya jino Sent from my SM using Tapatalk Click to expand... Sawa taenda kesho Sent using Jamii Forums mobile app
C chimoli Member Joined Jan 16, 2018 Posts 37 Reaction score 17 Dec 29, 2018 Thread starter #4 chimoli said: Sawa taenda kesho Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dawa ya maumivu yoyote tukiacha panadol tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
chimoli said: Sawa taenda kesho Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dawa ya maumivu yoyote tukiacha panadol tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app